SIJAWAHI KUMPIGIA SIMU KANYE WEST – RAIS OBAMA

 

Jimmy KimelAlhamisi iliyopita Rais wa Marekani, Barack Obama, alikuwa kikaangoni katika interview ya Jimmy Kimmel ambapo alizungumzia mambo kedekede ikiwemo mauaji ya watu weusi yaliyotokea mjini Ferguson.

Lakini kabla ya mahojiano hayo kuisha, Rais obama alipigwa swali la kizushi kuhusiana na ukaribu uliopo baina yake na  Kanye West ambapo hapo awali rapa huyo aliwahi kunukuliwa akijigamba kwamba yeye na Obama ni maswahiba na isitoshe aliwahi kupigiwa simu na prezdaa huyo.

”Nimekutana na Kanye mara mbili, alisema Rais Obama na kuongeza, ”Mara ya kwanza nikiwa seneta, na alikuwa na mama yake.  Alikuwa kijana mdogo, alafu, miezi kama sita iliyopita, alipokuja katika event, Sikia, napenda muziki wake, yeye ni mtu mwenye kipaji, lakini sifikirii kama nina namba yake ya simu ya nyumbani”, alifunguka Rais huyo wa 44 wa Mamton/Marekani. 

Kama ulipitwa na mahojiano hayo, unaweza ukayatazama hapo chini kwa ufupi

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s