OMMY DIMPOZ : DIAMOND HAWEZI KUNIMIND MIMI KWA SABABU YA WEMA

Ommy Dimpoz, Diamond na WemaUkaribu uliopo baina ya mbongo fleva, Ommy Dimpoz na ex wa Diamond, Wema Sepetu, umepelekea watu wengi hasa mashabiki wao kudhani kwamba huenda ukawa mwanzo na mwisho wa urafiki baina yake na Rais wa Wasafi.

Akitiririka kupitia  XXL ya Clouds Fm, Ommy amesema kuwa Diamond ni swahiba wake na hawezi kummind kwa kitendo chake cha kumtumia Wema kwenye video yake mpya ya Wanjera ambayo imefanywa nchini Afrika kusini.

Wala hawezi kunimind mimi kwa sababu kamuona Wema. haiwezekani. Halafu kumbukeni shemeji yetu Zari nimjamzito msitake kuwatia watu pressure.” alisema Dimpoz

Kauli hiyo inakuja kufuatia Ommy kuulizwa kuhusu kitendo cha Diamond kutopost kitu chochoe kuhusiana na video ya swahiba wake huyo katika akaunti zake za mitandao ya kijamii tofauti na ilipokuwa ikizoeleka hapo awali.

Labda hajaposti yupo busy na simu yake, hata mimi kuna vitu vingine huwaga anaposti na mimi vinanipita pia. “Kwahiyo huwezi ukasema hajaposti kwa sababu fulani na fulani. Diamond si yuko na Zari au? Kwahiyo hawezi tena akawa anafocus kwa mambo ya Wema”.  Alipasua Mzee wa Pozi kwa Pozi.  Itazame video ya Wanjera hapo chini

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s