KICHUPA KIPYA : LINEX Feat. DIAMOND PLATNUMZ – SALIMA [Official Video]

linex X Diamond - SalimaLinex ameitendea haki kauli ya bandika bandua kufuatia kuwapa ladha mashabiki kupitia ngoma yake ya Salima akiwa amemshirkisha Diamond ambayo aliyoiachia siku chache zilizopita na kama hiyo haitoshi msanii huyo ameendelea kuwapa ladha fans wake kwa kuachia kichupa cha single hiyo ambacho kimeongozwa na dairekta Adam Juma wa Next Level. 

Itazame hapa kwa mara ya kwanza.

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s