JUX APOROMOSHA GHOROFA LITAKALOKUWA NA STUDIO, GYM NA SWIMMING POOL

Siri ya mtu ni kichaka.  Hitmaker wa Nikuite Nani, Jux, yupo katika mchakato wa kumalizia ujenzi wa ghorofa analodai kuwa ni mali yake.

Juma Jux

Supastaa huyo ameamua kutuibia siri ya jinsi alivyo-plan mjengo wake kuwa pindi utakapokamilika.

Jux amesema jumba lake hilo litakuwa na chumba maalum kwa ajili ya kufanyia mazoe(Gym), Studio ya kurekodia pamoja na bwawa la kuogelea.

Major plans for my humble abode – home recording studio, gym and pool and maybe a puppy for bae. God is good! Planning ahead #RealEstate #Lifestyle #Property #Blessings #AfricanBoy”, aliandika Jux kwenye ukurasa wake wa Instagram

Juma Mpolopoto A.K.A Jux akiwa Site kwake

Juma Mpolopoto A.K.A Jux akiwa Site kwake

Advertisements

One thought on “JUX APOROMOSHA GHOROFA LITAKALOKUWA NA STUDIO, GYM NA SWIMMING POOL

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s