DIAMOND AFANYIWA UPASUAJI WA MGUU

Diamond PlatnumzMfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amefanyiwa upasuaji mdogo kwenye mguu wake wa kushoto katika hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni jijini Dar es salaam.

Diamond ameiambia Blogu ya Larrybway91 kuwa upasuaji huo ulichukua saa kadhaa ambao ulihusisha utolewaji wa kitu chenye asili ya chupa kilichokuwa kimekaa mguuni mwake kwa takribani mwaka mzima.

Nilikuwa na kichupa mguuni karibu mwaka mzima ndio kilitolewa jana’‘, alisema Diamond

Aidha msanii huyo ameshea video fupi akiwa hospitalini hapo huku akiwa amelala kitandani akitolewa kichupa hicho na madaktari.

Thanks alot Doctor Dossaj and the whole TMJ crew”, aliandika Diamond. 

Get Well Soon Rais wa Wasafi

  

Thanks alot Doctor Dossaj and the whole TMJ crew......

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s