KICHUPA KIPYA : OMMY DIMPOZ – WANJERA [Official Video]

Ommy Dimpoz - WanjeraOmmy Dimpoz ameachia kichupa/video yake mpya ”Wanjera” ambayo imeongozwa na kampuni ya Godfather Production nchini Afrika kusini wakati kwa upande wa audio ikifanywa na mikono hatari ya Man Walter.

Katika video hiyo, Dimpoz amemshirikisha Former Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu pamoja na Mshindi wa Big Brother Hotshots, Idris Sultan, nisikuchose sana, chukua dakika zako 4 na sekunde 30 kuitazama hapo chini

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s