MAYWEATHER JR, PACQUIAO WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI LEO, KUMALIZA UBISHI MEI 02

Floyd Mayweather Jr

Mabondia nyota Duniani, Floyd Mayweather Jr na Pacquiao wamekutana katika mkutano na waandishi wa habari ambao umefanyika katika ukumbi wa Nokia Theatre  jijini Los Angels, California.

Wanamasumbwi hao wawili ambao ni mahasimu wakubwa, wamekutana leo kwa ajili ya kupromote na kuzungumzia mpambano wao unaotarajia kufanyika Jumamosi(May.02) mwaka huu katika ukumbi wa MGM Grand Arena uliopo Los Vegas nchini Marekani wakiwania mkanda wa Dunia wa uzito wa Welterweight.

Rekodi zinasema kuwa bondia Mayweather Jr amekwisha shinda jumla ya mapambano 47 huku 26 akishinda kwa Knockouts akiwa hana rekodi ya kunyukwa hata pambano moja, wakati kwa upande wa mfilipino, Manny Pacquiao, akiwa ameshinda mapambano 57 kati yake 38 akiwa ameshinda kwa K.O na kupoteza matano.

Wapenzi na mashabiki wengi wa mchezo wa ngumi Duniani wamekuwa wakitamani kwa muda mrefu wawili hao kupambanishwa katika ulingoni mmoja kutokana na kila upande kutoa tambo zake.  Tazama picha za kilichojiri katika mkutano wao na waandishi wa habari

Floyd Mayweather

Mayweather Jrakipata ukodaki na wadau wa masumbwi katika zulia jekundu nje ya ukumbi wa Nokia Theatre jijini Los angels

 

Mkutano

Bondia Mfilipino ‘Manny Pacquiao’ akizungumza na waandishi wa habari

 

Manny pacquiao & Mayweather Jr Mayweather

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s