KANYE WEST ALIZWA LAPTOP NA WEZI

Kanye LaptopMwanamuziki wa Marekani na mmiliki wa label ya G.O.O.D. Music, Kanye West, ameibiwa kompyuta mpakato yake maarufu kama laptop jijini Paris nchini Ufaransa.

Malik Yusef ambaye ni rapa anayesimamiwa na label hiyo alithibitisha kutokea kwa tukio hilo baada ya kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuwa wapo kwenye uchunguzi wa kugundua aliyeiba kifaa hicho.

Tunafanya uchunguzi binafsi juu ya kuibiwa kwa laptop ya Kanye West”, aliandika Yusef

Lakini katika hali ya kushangaza, kumekuwepo na akaunti ya mtu moja ambaye bado hajafahamika katika mtandao wa Twitter inayotumia jina la @Kanyelaptop akidai kuwa ndiye mwizi wa laptop hiyo.

Hata ukitazama tweets za mwizi huyo utaona ni jinsi anavyomtag Kanye na kumuelezea  mambo yaliyokuwepo ndani ya aptop yake.  Unaweza ukacheki tweets hizo hapo chini

Kanye Yeezy

 

 

Advertisements

One thought on “KANYE WEST ALIZWA LAPTOP NA WEZI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s