DAVIDO AJIACHIA NA MTU MZIMA ‘P DIDDY’ KATIKA KLABU YA USIKU HUKO MIAMI

Rapa nyota wa nigeria, Davido, ameonekana aki-party na mmiliki wa label ya Bad Boy, P.Diddy, katika klabu ya usiku ya LIV iliyopo katika jiji la Miami nchini Marekani.

Davido na DiddyPicha ya wawili hao ilipigwa Jumatatu(Mar.09) wakati Diddy na crew yake walipokuwa wakiadhimisha miaka 18 tangu kutokea kwa kifo cha label mate mwenzao late Notorius BIG. 

Maceleb wengine waliohudhuria katika party hiyo ni pamoja na Cassie, Wale, Lil Wayne na Mack maine.  Hii sio mara ya kwanza kwa  Davido kuonekana akijiachia na mastaa nyota wa Marekani.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s