WAJUE WAKALI WALIOMU-INSPIRE DIAMOND KUWA MWANAMUZIKI

Diamond PlatnumzMwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amewaanika wasanii wa muziki wa hapa nchini waliomu-inspire kufanya muziki ambao leo hii umeweza kubadilisha ndoto zake kutoka katika maisha ya hali ya chini na kumuweka kileleni.

Wanamuziki hao ni pamoja na Professor Jay, Late James Dandu, Lady Jaydee, Q-Chief, Mr.Blue, Mr.Nice, A.Y, Ray C, T.I.D, Mr.Sugu na Juma Nature.

Hawa ndio watu walionifanya nitamani sana nami kuwa Mwanamziki.. Walikuwa na nafasi kubwa sana katika Ndoto zangu… Neno Moja tu kwao “Nawaheshim sana“, aliandika Diamond kwenye ukurasa wake wa Facebook na kisha ku-post picha za malegendary hao.

DP

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s