Baada ya Siri kufichuka kuhusu mwanamuziki Chris Brown kudaiwa kuzaa mtoto na mwanamke ambaye si mpenzi wake aitwaye Nia, staa huyo ameamua kujibu madongo hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Chris Brown(Kushoto) na kulia kwake ni mwanamke anayetajwa kuzaa nae akiwa amembeba mtoto anayetajwa kuwa ni wa Chris anayeitwa Royalty mwenye umri wa miaka 9
“How bout ya’ll kiss my ass”,aliandika Brown na kuongeza, ”I’ma post what the f**k I want, say what I want when I want and I don’t owe you nosey muhf**kahas a damn thing. This FRUITZ. #500”.
Aidha uhusiano wa kimapenzi wa mwanamuziki huyo na mpenzi wake, Karrueche Tran, unatajwa kuvunjika kufuatia mwanadafada huyo kudai kuwa amechoshwa na drama za kila siku za C.B.