KID INK ACHEZEA SHARUBU ZA SIMBA NA CHUI HUKO AFRIKA KUSINI

Kid1Hitmaker wa Show Me, Brian Todd Collins A.K.A Kid Ink ameonyesha uwezo mwingine mbali na kushambulia jukwaaa baada ya kutokelezea katika picha ya pamoja na wanyama hatari wa mbugani.

Katika ukurasa wake wa Facebook, Kid Ink ameshea picha akiwa kwenye zoo moja nchini Afrika kusini akicheza na Simba pamoja na Chui waliokuwa wamehifadhiwa katika mabanda yao pasipo kuonyesha hofu yoyote ile.

Mbali na habari hiyo ni kwamba albamu ya mwanamuziki huyo inayoitwa ‘Full Speed’ tayari imekwisha ingizwa rasmi sokoni ambapo unaweza ukainunua kupitia application ya itunes >>>>>http://smarturl.it/iFullSpeed<<<<<<<.¬† Kid Ink1 Kid Ink2

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s