WATU WAWILI WARIPOTIWA KUJERUHIWA KWA RISASI KATIKA SHOO YA T.I NA YOUNG JEEZY

T.i Young JeezyWatu wawili wameripotiwa kujeruhiwa kwa risasi katika shoo iliyowakutanisha marapa nyota watatu, Young Jeezy, T.I na Yo Gotti usiku wa kuamkia leo.

Tukio hilo linatajwa kutokea katika ukumbi mmoja uliopo mjini Charlotte, Carolina kaskazini huko Marekani ambapo milio miwili ya risasi ilisikika wakati marapa hao nyota wakiwa katika eneo la V.I.P baada ya kumaliza kuperform.

Meneja wa T.I, Jason Geter, amesema msanii wake hajapatwa na majeraha ya aina yeyote wala kudhurika halikadhalika na Jeezy pamoja na Yo Gotti.

Shoo hiyo ilikuwa ni tukio la kusherekea mashindano ya mpira wa kikapu yajulikanayo kama C.I.A.A yaani The Central Intercollegiate Athletic Association

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s