VIDEO : KANYE WEST AMWAGA MACHOZI STUDIO KWA MARA YA KWANZA

Kanye WestRapa kanye West anayesifika kuwa na sura ya userious wakati wote hata pindi awapo katika matembezi ya kawaida  au afanyiwapo mahojiano, mambo yameonekana kuwa tofauti mwaka huu baada ya kujikuta akibubujikwa na machozi studio.

Ishu hiyo inatajwa kutokea wakati rapa huyo alipofanyiwa mahojiano na kituo cha redio cha BBC kilichopo nchini uingereza.

Kanye alijikuta akimwaga machozi mithili ya mtoto mchanga wakati alipokuwa akimzungumzia mdau mwenzake wa fashooni, Louise Wilson, ambaye alifariki Dunia mwezi mei mwaka jana.

Nafikiri alijiua kwamba atakufa, alikuwa ni profesa mwenye ujuzi wa hali ya juu kwa wakati wote, alisema Rapa huyo na kuongeza,” alikuwa maarufu kwa kuwapa moyo watu na kutengeneza bidhaa kama za Alexander McQueen.

Hata hivyo Baadae Kanye West  alikiri wazi kuwa ni mara yake ya kwanza kulia katika mahojiano.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s