PICHA ZA UTOAJI WA TUZO ZA WASANII BORA WA MUZIKI ZANZIBAR 2015

med1Mkurugenzi wa Biashara Zanzibar Nd. Moh’d Baucha wa kulia akimkabidhi Tunzo ya Video bora ya mwaka muziki wa kizazi kipya Nassir Hassan (Vanila) mara baada ya kuibuka mshindi, tunzo hizo zimeandaliwa na Kampuni ya Zanzibar Midia Corporation LTD katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama Holl Bwani Mjini Zanzibar. 

med2Mwanamitindo marufu wa Zanzibar Farouk Abdilahi akimkabidhi Tunzo ya Video bora mwaka ya Tarab ya Kissa Sada Nasor.  
med3Mwanamuziki bora wa mwaka wa Afro Pop Saidi Kitwana (Mabawa) kushoto akipokea tunzo kwa Katibu Mtendaji Bodi ya Sensa Zanzibar Nd. Suleiman Mbarouk.
med4Meneja wa Zenji Entertainment Seif Moh’d (kushoto) akimkabidhi tunzo Mwanamuziki Bora wa kiume wa tarabu asili Cholo Ganun.
med5Mwakilishi kutoka Baraza la Sanaa Zanzibar Maulid Madam akimkabidhi tunzo ya Mwanamuziki bora wa kike wa Tarab asili Bi. Rukia Ramadhan katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama Holl Bwani Mjini Zanzibar.
med6Meneja wa Fedha Z.M.C.L Bi. Saide Moh’d akimkabidhi tunzo Mwanamuziki bora wa mwaka wa kizazi kipya Riko Singo katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama Holl Bwani Mjini Zanzibar.
med7Mwanamuziki bora wa mwaka wa kike wa kizazi kipya Baby J akipokea tunzo kwa Meneja wa Z.M.C.L Tawi la Dar es Salam mara baada ya kuipuka kidedea tunzo hizo zimeandaliwa na Kampuni ya Zanzibar Midia Corporation LTD iliopo Zanzibar.
med8Baadhi ya wageni waalikwa na wadau mbali mbali wakishuhudia wasanii wa Zanzibar wakipewa tunzo katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama Holl Bwani Mjini Zanzibar.
med9Wasanii wa kikundi cha Smart Comed Zanzibar wakitoa Burudani.
med10Msani Mr Blue akitumbuiza katika Tamasha la Wasanii wa Zanzibar.
med11Mgeni Rasmin Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Ikiulu na Utawala Bora Dkt. Mwinyihaji Makame akimkabidhi tunzo ya muandaaji bora wa Tamasha Zanzibar Music Award mwaka 2015 Mbunge wa Jimbo la Uzini na Mkurugenzi wa Redio ya Zenji FM Mohamed Seif Khatib katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama Holl Bwani Mjini Zanzibar.
med12  Mgeni Rasmin Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Ikiulu na Utawala Bora Dkt. Mwinyihaji Makame katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya Zanzibar Midia Corporation LTD.

 
Picha na Makame Mshenga wa habari Maelezo Zanzibar.

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s