JIANDAE KUSIKILIZA KOLABO YA NGUVU KUTOKA KWA J.MARTINS NA KOFFI OLOMIDE

J.martins na Koffi Olomide  J.Martins amekwishafanya kolabo nyingi na wasanii mbalimbali kama vile Ay, MwanaFa, Fally ipupa, Psquare na sasa ni zamu ya MOPAO MOKONZI maarufu kwa jina la steji ‘Koffi Olomide’ ambaye ni legendari wa muziki wa Bolingo kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. 

Mwanamuziki huyo nyota wa Nigeria ameshea picha akiwa na Koffi studio nchini Congo ambapo zoezi la ku-shoot  video kwa ajili ya ngoma yao limeanza inayotarajiwa kuachiwa rasmi wiki chache zijazo.

Lengo langu ni kuufanya muziki ambao unatuunganisha wote waafrica.  Naamini Muziki ni moja kitu kikubwa kinachotuleta pamojana kuonyesha kuwa sio bara.  Africa ni nchi  na tunazungumza lugha moja – Muziki!”, aliandika J.Martins kwenye ukurasa wake wa Facebook

Aliongeza :Kaa tayari kwa kolabo  yangu na legendari wa Congo Koffi olomide.  Sambaza upendo wako kwa Muziki wa Africa kwa kushea habari nzuri na marafiki zako wa mbali na kwa upana.  Upendo mmoja, Africa Moja”.

Koffi na J.martins

Koffi na J.martins wakiwa studio

J.Martins Nigeria

Congo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s