FAMILIA BORA : ALICIA KEYS, SWIZZ BEATZ NA WATOTO WAO WATOKELEZEA KATIKA PICHA YA PAMOJA

Moja ya couple za mastaa ninazozikubali ni ya mwanamuziki Alicia Keys na mume wake producer Swizz Beatz ambao wamedumu kwa kipindi kirefu katika ndoa yao na kufanikiwa kupata watoto wawili wa kiume.

Alicia Keyz, Swizz beatz

Swizz Beatz na Alicia Keyz wakimtazama mtoto wao Genesis Ali Dean, wa kwanza kushoto ni mtoto wa kwanza wa Beatz ‘Kaseem David Dean, Jr.’ aliyezaa na mtalaka wake mashonda mwaka 2006 na kulia ni mtoto wao wa kwanza wa ndoa Egypt

Couple hiyo imeshea picha ikiwa na memba mpya wa familia yao aliyezaliwa mwaka jana aitwaye Genesis Ali Dean.  Watazame mwenyewe jinsi walivyotokelezea

Swizz Beatz alicia keyz

Beatz katika pozi na vijana wake wa nguvu

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s