UBUNIFU KUTOKA MOYONI : AUNDA NDEGE KWA KUTUMIA MISOKOTO YA BANGI

Ukisikia ubunifu kutoka moyoni ndio huu. Wakati baadhi ya nchi za magharibi zikihalalisha uvutaji wa bangi, fursa hiyo imeonekana kuwapa nafasi watu flani kuonyesha ujuzi wao wa kuunda mmea huo ambao unapigwa vita vikali barani Afrika na kwingineko. BangiKatika pitapita zangu mitandaoni, nikabahatika kukutana na jamaa mmoja ambaye aliamua kutumia misokoto ya bangi na kuunda  ndege kama inavyoonekana hapo juu.  Je, unampa maksi ngapi huyu jamaa kwa ubunifu huu???

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s