TYGA NA MAMA MKWE WAKE WAZIKA TOFAUTI ZAO

Baada ya kukanusha kutoka kimapenzi na mdogo wa kufukia wa Kim Kardashian, Kylie Jenner mwenye umri wa miaka17, Rapa Tyga amekwenda mbele zaidi na kuonyesha kuwa hana bifu na mama mzazi wa ex wake, Blac Chyna, Shalana Hunter kama vile watu walivyokuwa wakidhani

Tyga na

Tyga na Hunter wakipata ukodaki wakati wa ziara ya muziki ya Chris Brown na Trey Songz

Hunter alipost baadhi ya picha akiwa na rapa huyo katika ukurasa wake wa Facebook jana wakiwa katika nyuso za furaha na kuzima tetesi za kuwepo kwa bifu kati yao baada ya Tyga kudaiwa ku-hack akaunti yake ya Twitter mwishoni mwa mwaka jana na kutoa maneno mbovu mbovu juu ya binti yake.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s