PICHA : YUSUPH MLELA, ESHA BUHETI NA HUSNA WATUA JIJINI BIRMINGHAM NCHINI UINGEREZA

MlelaMastaa nyota watatu wa kiwanda cha filamu Bongo, Yusuph Mlela, Esha Buheti na Husna Athumani wametua jijini Birmingham nchini Uingereza baada ya kupata shavu la kurekodi filamu na kampuni ya Didas Entertainment yenye makazi yake nchini humo.

Mlela, Husna na Buheti wameshea picha za kutosha na mashabiki wao kupitia akaunti zao za Instagram wakionekana wakiwa mitaa mbalimbali ya jiji hilo  wakila bata. 

Mwaka jana kampuni hiyo iliwapandisha pipa mastaa nyota watatu wa Bongo Movie akiwemo Riyama Ally, Wastara na Clouds na kufanikiwa kuwachezesha filamu iliyopewa jina la Ughaibuni.

 

Yusuph Mlela

Yusuph Mlela watatu kulia aliyevalia sweta la pao, Esha Buheti wa tatu kutoka kushoto na Husna wa kwanza kulia wakiwa na uongozi wa Didas Entertainment baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Birmingham nchini Uingereza

Bongo Movie

Esha Buheti, Mlela na wenyeji wao wakipata ukodaki

Esha Uingereza

Ni mwendo wa machapi tuuuu

  Mlela na Buheti Mlela na Esha Buheti   Yusuph mlela na Esha Buheti UghaibuniDidas Ent.Bongo Movie England

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s