HIVI NDIVYO D’BANJ ALIVYOSHEREKEA MIAKA 10 KATIKA GEMU HUKO AFRIKA KUSINI

banga5Mwanamuziki nyota wa Nigeria, D’banj ameendeleza shangwe za kujipongeza  kutimiza miaka 10 katika gemu la muziki baada ya kudondosha tena party ya nguvu nchini Afrika kusini.

Staa huyo wa Fallin Love au unaweza kumuita The koko Master alisherekea sambamba na mastaa wenzake akiwemo Kcee, Phyno, Bonang na wengine kibao katika klabu ya usiku ya Harem nchini humo wikiendi iliyopita.

Itakumbukwa mwishoni mwa mwezi Januari mwaka huu, D’banj alisherekea  mafanikio yake hayo  ya kimuziki nchini Nigeria ambapo mkali wa ku-twerk kutoka Marekani ‘Amber Rose’ alikuwa mgeni rasmi.  Tazama hapo chini mambo yalivyokuwa

banga1 banga3 banga4  banga6

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s