HAT-TRICK YA HISTORIA UNITED: SIKU KAMA YA LEO ‘DWIGHT YORKE’ ALIWEKA REKODI HII NDANI YA OLD TRAFFORD

Dwight YorkeKwa wale wapenzi na mashabiki nazi wa mashetani wekundu ‘Manchester United’ bila ya kupepesa watakuwa bado na kumbukumbu katika vichwa vyao ya hat-trick iliyofungwa na mshambuliaji hatari wa enzi hizo   ‘Dwight Yorke’ mnamo Feb.25 mwaka 2001 ndani ya dakika 22 ambayo hadi leo haijavunjwa wakati United ilipomenyana na Arsenal.

Katika mchezo huo ulishuhudia Man United ikimaliza dakika 90 kwa kuwaadhibu washika mtutu hao wa jiji la London jumla ya magoli 6 -1 katika mtanange uliopigwa kwenye dimba la Old Trafford huku mabao mengine ya United yakipachikwa na Roy Keane, Ole Solskjaer na Teddy Sheringham katika msimu wa 2000/01. 

Today is the anniversary of one of the most memorable first halves at Old Trafford – Dwight Yorke’s hat-trick inside 22 minutes against the Gunners, during an eventual 6-1 win! #classicmufc”,  waliandika United katika ukurasa wao wa insta.  Itazame Hat-Trick Hiyo hapo chini.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s