BANDIKA BANDUA : EX WA NICKI MINAJ AJIWEKA KWA SUPASTAA HUYU MWINGINE WA KIKE

Minaj, Safaree na K.Michelle

Minaj, Safaree Samuels na K.Michelle

Huenda ex wa Rapa Nicki Minaj, Safaree Samuels akawa na nyota ya chips mayai au  zali la ku-date na wanawake mastaa baada ya hivi karibuni uji wa moto kutoka katika tovuti ya udaku ya TMZ kudakuza kuwa sharobaro huyo yupo katika mahusiano ya kimapenzi na mwanamuziki K.Michelle.

Kwa mujibu wa TMZ iliwafuma wawili hao wakiwa faragha eneo la VIP katika klabu ya usiku ya Stage 48 iliyoko mjini New York nchini marekani katika siku ya wapendanao yaani Valentine’s Day wakila ujana sambamba na Safaree kumtumia zawadi ya maua mwanadafada huyo.

Safaree anatajwa kuwa karibu mno na K.michelle wakitajwa kutumia muda mwingi wakiwa pamoja sehemu mbalimbali za bata, kupigiana simu na kutumia meseji huku zilipendwa wake ‘Minaj’ akiwa mikononi mwa Rapa  Meek Mill na kujikuta wakiunda couple flani hivi amaizin iliyopewa jina la Omeeka, .

Katika kupigia mstari ule msemo usemao, ”Ukisema wa nini??, wenzako wanasema watampata lini??”, K.Michelle alipost video kupitia ukurasa wake wa Instagram akitwerk juu ya biti ya nyimbo ya ex huyo wa Minaj akionyeshe amekolea.  Wacha muvi iendelee

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s