ASTON MARTIN KUJA NA TOLEO JIPYA LA 2015 AINA YA VULCAN

aston-martin-vulcan-supercar-02-960x539Kampuni mashuhuri ya kutengeneza magari ya kifahari yenye makao yake makuu nchini Uingereza, Aston Martin Lagonda Limited wanatarajia kuzindua tolea jipya la mwaka 2015 aina ya Aston Martin Vulcan katika maonyesho ya Geneva Motor Show ambayo yanatarajia kufanyika mwaka huu yatakayoshirkisha nchi takribani thelathini.

Baadhi ya vikolombozwe vinavyotajwa kuwepo katika mkoko huo  ni pamoja na injini yenye uwezo wa kutembea kilometa 7 kwa lita moja aina ya V12, 800 hp na uwezo wa kubeba watu wawili  kama vile magari mengine aina ya sports/racing. 

Hata hivyo mpaka sasa  bei ya mkoko huo na mwendo kasi wake bado havijatajwa ambapo wasanii wa Marekani kama vile Rick Ross, Bow Wow, Usher, R,Kelly na wengineo wamewahi kutumia magari ya kampuni hiyo katika video zao.  Tazama picha na teaser video yake  hapo chini

aston-martin-vulcan-supercar-03-960x539aston-martin-vulcan-supercar-06-960x539 aston-martin-vulcan-supercar-05-960x539  aston-martin-vulcan-supercar-07-960x539 aston-martin-vulcan-supercar-08-960x539 aston-martin-vulcan-supercar-09-960x539

aston-martin-vulcan-supercar-01-960x539   aston-martin-vulcan-supercar-04-960x539

 

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s