HII NDIO LE PROJEKTI MPYA YA WEMA SEPETU NA OMMY DIMPOZ

Projekti mpya inayoendelea kati ya diva wa kiwanda cha filamu Bongo, Wema Sepetu na Ommy Dimpoz imewaweka njia panda mashabiki wao baada ya wawili hao kushea picha kwenye akaunti zao Instagram wakiwa pamoja katika maeneo tata kama vile chumbani n.k

Inaelezwa kwamba Ommy Dimpoz alikwea pipa na mwanadafada Sepetunga mpaka nchini Afrika kusini kwa kile kilichotajwa kuwa ni kwa ajili ya shughuli za kimuziki hata hivyo ukaribu wa mastaa umezua minong’ono mingi na kupelekea kuhamsha hisia huenda wawili wameamua kuwa kitu kimoja yaani wapenzi. Watazame hapo chini

Wema na Ommy Ommy Dimpoz X Wema Ommy Dimpoz1 Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Wema Sepetu X Ommy DimpozOmmy Dimpoz & Wema SepetuDimpoz

Advertisements

2 thoughts on “HII NDIO LE PROJEKTI MPYA YA WEMA SEPETU NA OMMY DIMPOZ

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s