ZOLA D KATIKA PENZI ZITO NA MAMA WA KIZUNGU

Zola D BongoMwanamasumbwi na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zola D ameonyesha kukolea na mahaba niue anayopewa na mpenzi wake mpya ”Mama Wa Kizungu”  hali iliyopelekea kumwaga mapicha ya kutosha katika akaunti zake za mitandao ya kijamii akiwa katika malavidavi na mpenzi wake huyo.

Katika kupigia mstari stori hii,  Zola ameweka wazi katika ukurasa wake wa Facebook kuwa yupo katika mahusiano na mwanamama huyo anayeitwa Basia Jankowska ambaye ni Raia wa Poland.  Watazame hapo chini jinsi walivyonoga, utasema mapacha flani hivi

Zola D1

Zola D na Basia wakifanya yao mazoezini

 

Zola D3

Mahaba nikaushe Damu

 

Zola D2

Zola D4 Zola D5 Zola D6Zola D King

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s