NGOMA MPYA : RON FEAT. MATONYA – TEREMKA

Ron Feat Matonya - TeremkaMsanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi ya ajabu, Ron ameachia single yake mpya ”Teremka” akiwa amemshirikisha Matonya kwa upande wa chorus. 

Ngoma imefanywa kwenye studio za Power House of Music chini ya mikonop hatari ya Producer Jack Power.  Pata kibali cha kuisikiliza na kuipakua hapo chini.

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s