JESHI LA POLISI LAPIGA MARUFUKU UWEKAJI WA TINTED ZA MBELE KWENYE MAGARI

 KiloHii inawahusu wamiliki wa mikoko/magari Tanzania.  Kamanda wa kikosi cha usalama barabani, DCP Mohamed Mpinga amesema uwekaji wa tinted kwa mbele katika magari unasababisha askari kushindwa kutambua watu waliomo katika gari husika kwa haraka na pia kuchangia matukio ya kihalifu.

Mimi niseme tuu kwamba kuanzia sasa napiga marufuku wale wote ambao wameweka tinted kwenye magari yao kwenye vioo vya mbele watoe mara moja na sisi tutachukua hatua kali za kisheria kwa wote ambao watakuwa wameweka tinted kwenye vioo,” alisema kamanda Mpinga katika mkutano na waandishi wa habari hii leo jijini Dar es salaam

Aliongeza :Hata pembeni, ninachosema kwamba anayeweka tinted kioo cha mbele anaficha nini???ikumbukwe kwamba sasa hivi yako matukio kadhaa yanayotokea katika nchini yetu na kama umeweka tinted kwenye kioo cha mbele hivi unaficha nini???”.

Aidha jeshi hilo limeonyesha kusikitishwa na madereva wanaosababisha vifo vya askari wa usalama barabarani kwa kuwagonga wakiwa  katika utekelezaji wa majukumu yao.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s