DAVIDO AMPROVE WRONG MWALIMU WAKE WA SEKONDARI

Mafaniko ni silaha ua nyenzo tosha ya kuwaumbua wale watu waliokuwa wakidhani hutoweza kufanikiwa.  Mkali wa miondoko ya Afro Pop kutoka Afrika Magharibi yaani Nigeria, David Adedeji Adeleke A.K.A Davido amemprove wrong mwalimu wake wa Sekondari aliyekuwa akimwambia kwamba hatokuja kufanikiwa katika maisha yake.

DavidoDavido amemtupia dongo hilo mwalimu wake huyo aliyekuwa akimfundisha somo la kifaransa, kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya ku-post picha akiwa ameegemea mkoko wake wa kifahari kama anavyoonekana hapo juu na kuandika caption, ” My French teacher in high school told me I was the most unlikely to succeed…Jokes on her”. 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s