IVORY COAST YAPOKELEWA NA MAELFU YA MASHABIKI NCHINI KWAO

c7Timu ya Taifa ya Ivory Coast au unaweza kuwaita tembo wa mwituni wamepokelewa na maelfu ya mashabiki waliokuwa wamefurika katika mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo Abdijan baada ya kutwaa ubingwa wa Afrika kwa mara ya pili nchini Guinea ya Equator.

Rais wa nchi hiyo, Alassane Ouattara ametangaza  kupitia vituo vya radio na luninga mapumziko ya siku moja katika kusherekea ubingwa huo ambao walikuwa wakiutolea udenda kwa takribani miaka 22 baada ya kuisambaratisha Ghana kwa jumla ya mikwaju 9-8  ya penalti.  Tazama picha za mapokezi ya The Elephant hapo chini

c1

Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara akiwa kwenye gari binafsi na kiungo wa kimataifa wa Man City na mchezaji bora wa Afrika ‘Yaya Toure’ wakisherekea ubingwa katika uwanja wao wa taifa

c2 c3 c4 c5 c6  c8 c9 c10

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s