P-SQUARE WAMZIKA BABA YAO, WAMWAGA MINOTI MSIBANI

Peter na Paul Okoye wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu baba yao

Peter na Paul Okoye wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu baba yao

Chifu Moses Okoye, baba mzazi wa Peter na Paul Okoye wa  kundi la P-square, amezikwa katika mji aliozaliwa wa Ifitedunu uliopo katika jimbo la Anambara.

Safari yake ya mwisho  ilianzia nyumbani siku ya Alhamisi ikisindikizwa na huduma ya nyimbo.  Baada ya tukio hilo, P-Square walifanya ziara ya heshima kwa watawala wa kijiji

Marehemu Mzee Okoye mbaye alifariki Dunia  Novemba 25 mwaka jana, amepumzishwa katika makazi yake ya milele leo Ijumaa(Jan30),  baada ya kufanyiwa misa maalum katika kanisa la katoliki la mtakatifu Gabriel lililopo Ifitedunu. 

Tazama picha za mazishi hapo chini

1

P-Square na wake zao wakisikiliza kwa makini busara za mzee wa kaya

02

Kikosi cha matarumbeta kikisindikiza msafara wa mazishi kuelekea kanisani kwa misa maalum kwa ajili ya marehemu

2

Peter na Paul Okoye wakiwa katika nyuso za huzuni

03

P-Square na wake zao wakiwa katika hali ya majonzi

3

Paul Okoye na mke wake Anitha wakifarijiana

4

Watoto wa Marehemu na wake zao wakiwa katika nyuso za majonzi

05

Gari lililobeba mwili wa marehemu likielekea kanisani

5

Kikosi kazi cha Tarumbeta kikitumbuiza huku mwili wa marehemu ukiingizwa kanisani kwa mbwembwe

6

Mchungaji wa kanisa katoliki la Mtakatifu Gabriel akitoa neno

7

Ulinzi wa uhakika ulikuwepo kanisani na nyumbani katika kuhakikisha usalama wa wafiwa

08

Watuwakiwakanisakwaajili ya misamaalum ya kumuombeamarehemu

8

Mke wa Peter Okoye, Lola akisalimiana na wakwe zake msibani

10

Wajukukuu na watoto wa marehemu wakipata ukodaki – Huyu wa kati lazima atakuwa mtu mzima ovyo

12

Waombolezaji wakiwa wametupia tshirt maalum za kuomboleza

Mr & Mrs Paul okoye

Mr & Mrs Paul Okoye wakipata ukodaki baada ya mazishi

Paul Okoye Burial

Wa kwanza kulia ni Paul Okoye, Peter, Ukwa na kaka yao Jude

Paul Okoye Nigeria

Paul na mke wake wakiwa msibani

Paul Okoye

Paul Okoye akimwaga minaira katika msiba wa baba yake

Paul Okoye2 Peter okoye

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s