GUINEA YATINGA ROBO FAINALI KIZALI, MALI YAFUNGASHA VIRAGO

GUINEATimu ya Guinea iliyotoka sare juzi kwa kufungana bao moja kwa moja na timu ya Mali kwenye michuano ya soka ya kombe la AFCON, imetinga robo fainali ya michuano hiyo baada ya kushinda kwa njia ya bahati nasibu iliyofanywa na shirkisho la soka barani Afrika CUF.

Bahati nasibu hiyo imeamua nafasi ya pili katika kudni D, baada ya nchi zote mbili kumaliza kwa pointi sawa katika michezo mitatu waliyocheza, huku ivory Coast ikimaliza kileleni mwa kundi hilo.

Guinea inatarajia kushuka dimbani Februari mosi mwaka huu kumenyana na timu ya Taifa ya Ghana katikamchezo wa robo fainali  mjini Malebo nchini humo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s