DR.DRE AUPIGA BEI MJENGO WAKE WA KIFAHARI

Dr.DrePindi unapokuwa miongoni mwa marapa mabilionea Duniani, huna budi kubadilisha mazingira kulingana na hadhi yako ilivyo.  Mtayarishaji mkongwe wa muziki kutoka Marekani, Andre Romelle Young ‘Dr.Dre’ ameamua kuupiga bei mjengo wake wa kifahahri uliopo eneo la Hollywood Hills, California.

Dre mwenye umri wa miaka 49, ameuuza mjengo wake huo kwa dola za kimarekani milioni 32.5 ikiwa ni mara mbili  ya bei aliyonunulia, ambao upo mtaa mmoja na mijengo ya mastaa wenzake kama vile Leonardo DiCaprio, Keanu Reaves na wengine kibao.

Inasemekana Dre ameamua kuusukuma mjengo huo wenye vyumba 6  vya kulalia, mabafu 8 na vikolombwezo vingine baada ya kufanya ununuzi wa mjengo mwingine katika kipindi cha kipupwe mwaka jana ambao ulimgharimu dola milioni 40 na ushee uliokuwa ukimilikiwa na Tom Brady na mkewe mwanamitindo.  Utazame mjengo wake alioupiga bei hapo down

ifwt_dr-dre-house-birds-sold-mls-011-480w ifwt_dr-dre-house-birds-sold-mls-012-480w ifwt_dr-dre-house-birds-sold-mls-013-480w ifwt_dr-dre-house-birds-sold-mls-014-480w ifwt_dr-dre-house-birds-sold-mls-015-480w ifwt_dr-dre-house-birds-sold-mls-016-480w ifwt_dr-dre-house-birds-sold-mls-017-480w

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s