50 CENT AMUITA EX WAKE JAMVI LA WAGENI

50 Cent na Tatted Up Holy wakiwa katika interview enzi za mahaba niue

50 Cent na Tatted Up Holy wakiwa katika interview enzi za mahaba niue

Siku zote mapenzi yanapoanza huwa ni matamu kama asali, ila mambo hugeuka pale wapendanao wanapoachana kwa shari.  Rapa 50 cent ameamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi baada ya kuanika siri za ndani za aliyekuwa mpenzi wake.

Ishu hiyo inatajwa kusababishwa na tovuti ya Media Take Out ambayo iliandika habari kuhusiana na mwanamke huyo anayefahamika kwa jina la Tatted Up Holy na kumtaja kama mchumba wake, kitendo kilichopelekea kuamsha hasira za rapa huyo na kuanza kuanika maovu yake.

”Mwanamke huyu ni jamvi la wageni”, alisema 50 na kudai kwamba amewahi kuvunja amri ya sita na mastaa wenzake kibao akiwemo Trey Songz, Jr Smith na wengineo

Baada ya kuona akishambuliwa, Tatted Up Holy aliamua kujibu mapigo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kudai kuwa enzi za mapenzi yao alikuwa muaminifu kwa rapa huyo licha ya vipigo vya mara kwa mara alivyokuwa akiambulia.  Unaweza ukamtazama kwa uzuri Ex wa 50 hapo chini

tatted up holly Tatted Up Holly1 Tatted Up

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s