PICHA ZA KILICHOJIRI KWENYE TAMASHA LA TIGO KIBOKO YAO VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR

Wasanii nyota wa Bongo Fleva wapatao 18 waliweza kukutanishwa katika jukwaa moja kwenye tamasha lililopewa jina la Tigo Kiboko yao ambalo liliandaliwa na kampuni ya Tigo na kuzinduliwa na Waziri wa Habari wa michezo na utamaduni mheshimiwa Dr Fenela Mukangara kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam wikiendi iliyopita.

Wasanii waliotoa burudani ni pamoja na Diamond, Ali Kiba, AY, Mwana FA, Professor Jay, Weusi, Shaa, Vanessa Mdee, Jux, Izzo Bizness, Fid Q na wengineo katika show iliyohudhuriwa na umati mkubwa wa wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake, Fanya kutazama picha za kilichojiri hapo chini kuanzia Red Carpet, Backstage mpaka jukwaani.

A A1 A2 A3 A4 A5 A6 A7 A8 A9 A10 A11 A12 A13 A14 A15 A16 A17 A18 A19 A20 A21 A22 A23 A24 A25 A26 A27 A28 A29 A30 A31 A32 A33 A34 a35 A36 A37 A38 A39 A40 A41 A42 A43 A44 A45 A46 A47 A48 A49 A50 A51 A52 A53 A54 A55 A56 A57 A58 A59 A60 A61 A62 A63 A64 A65 D1 D2 D3 D4 D5 D6 D7 D8 D9 D10 D11

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s