NIKKI MBISHI AWAPA MAKAVU MDUNDO

 

Nikki ZohanBaada ya kutangaza kuachana na muziki wa Hip-Hop mapema mwezi januari mwaka huu kwa madai ya muziki huo kutomlipa, Rapa Nikki Mbishi wa Tamaduni Muziki  amefunguka kwa mara nyingine tena kwenye mtandao wa Twitter na kuitolea uvivu  tovuti ya muziki ya Mdundo.

Mbishi ameiponda  tovuti hiyo inayojihusisha na uuzaji wa nyimbo za wasanii kwa njia ya mtandao, kwamba imekuwa ikiwanyonya wasanii kwa kutowalipa mkwanja wao unaotokana na kupakuliwa kwa nyimbo zao.

Ameongeza kuwa wamiliki wa tovuti ya Mdundo wamekuwa wakiwazungusha kwa muda mrefu sambamba na kuwapa ahadi hewa kila siku.

Songa, P he Mc na Dj Choka ni miongoni mwa wasanii waliounga mkono hoja ya Nikki Mbishi kupitia ukurasa wake wa Twitter.  Tazama Tweets walizoandika kuhusiana na ishu hiyo hapo chini

Mdundo Wezi

Dj Choka  Mdundo Nikki Mbishi mdundo Nikki Mbishi Tweets About Mdundo Nikki Mbishi Tweets1 Nikki Mbishi Zohan Nikki Mbishi Nikki Tweets Nikki Tweets Nikki Zohan Mbishi Nikki Zohan Mdundo Nikki Zohan Tweet Nikki Zohan Tweets P The Mc Songa Tweeter

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s