RAIS MPYA WA ZAMBIA AVALISHWA NA SHERIA NGOWI KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWAKE

Edgar Lungu ZambiaRais mpya wa Zambia, Edgar Lungu, ameapishwa baada ya kumshinda mwenzake kwa kura chache katika uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo. 

Bwana Lungu aliwaambia maelfu ya wafuasi wake katika sherehe hiyo kwenye uwanja wa michezo mjini Lusaka, kwamba yeye ni mtumishi wa watu. 

Alipata asili-mia-48 ya kura, ikilinganishwa na asili-mia-47 za mgombea wa upinzani, Hakainde Hichilema. 

Tume ya uchaguzi imekanusha malalamiko ya upinzani kwamba kumefanywa udanganyifu.

Katika sherehe za kuapishwa kwake, Rais Edgar Lungu alikuwa amevalishwa na mbunifu wa mavazi wa kimataifa kutoka Tanzania, Sheria Ngowi katika sherehe za kuapishwa kwake.

Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu akiwa amevaa suti maalum (Presidential suit)iliyobuniwa na Mbunifu wa mavazi wa Kimataifa kutoka Nchini Tanzania Sheria Ngowi akiwa na Mkewe Eshter Lungu Muda mfupi baada ya kuapishwa katika sherehe za kuapishwa kwake jana”,aliandika Sheria Ngowi kwenye mtandao wa Instagram

Edgar Lungu

Rais Edgar Lungu akiwa ameketi akisubiria kuapishwa

Edgar Lungu

Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu akiwa ameshika kitabu kitakatifu akisubiria kuapa mbele ya umati wa watu

Edgar Lungu1

Rais Edgar Lungu baada ya akiapo, akipigiwa mizinga

Edgar Lungu2

Rais Lungu akikagua msafara wa kikosi cha jeshi huku akiwa ametinga suti ambayo imebuniwa na Sheria Ngowi

Sheria Ngowi

Mbunifu wa kimataifa kutoka Tanzania, Sheria Ngowi akifuatilia kwa makini sherehe za kuapishwa wa Rais mpya wa Zambia

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s