SARE YA MOJA MOJA YAWAPA MATUMAINI SENEGAL YA KUSONGA MBELE

AFCON 2015 Afrika kusini Vs SenegalSare ya goli moja kwa moja waliopata Senegal jana, imeleta matumaini ya timu hiyo kufuzu kwa robo fainaliza mataifa ya Afrika huko Guinea ya Equator.

Sare hiyo dhidi ya Afrika Kusini imeifanya Senegal kufikisha pointi 4 ikiwa kileleni kwa kundi ”C” na inahitaji pointi moja pekee kufuzu kwa robo fainali.

Hata hivyo kundi hilo bado gumu kufuatia ushindi wa jana wa Ghana dhidi ya Algeria.  Ghana ina nafasi ya kufuzu ikiwa itaifunga Afrika kusini kwenye mchezo wa mwisho huku Algeria nao wakiwa na nafasi ya kufuzu endapo wataifunga Senegal.

Hii leo kuna mechi mbili za kundi ”D” ambapo Ivory Coast inacheza na Mali huku Cameroon ikikwaana na Guinea.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s