RAIS MUBARAK NA WATOTO WAKE WAFUNGULIWA KESI MPYA

Rais wa zamani wa misri, Hosni Mubarak aliyekaa, na watoto wake wawili wa kiume Gamal(wa kwanza kusto) na Alaa Mubarak( Wa Kwanza Kulia) wakati walipohudhuria mahakamani kusikiliza kesi yao

Rais wa zamani wa misri, Hosni Mubarak aliyekaa, na watoto wake wawili wa kiume Gamal(wa kwanza kusto) na Alaa Mubarak( Wa Kwanza Kulia) wakati walipohudhuria mahakamani kusikiliza kesi yao

Watoto  wawili  wa kiume wa aliyekuwa Rais wa Misri, Hosni El Sayed Mubarak, wametolewa jela wakisubiri  kufunguliwa kesi mpya.

Alaa na Gamak Mubarak wametolewa jela baada ya mahakama kutoa amri hiyo kwa hoja kuwa wametumikia muda mrefu wa hukumu yao jela.

Mubarak aliyeng’olewa madarakani kufuatia wimbi la mageuzi katika nchi za kiarabu mwaka 2011, alikutwa na hatia ya kuhusika na rushwa pamoja na wanawe mwaka jana huku Alaa na Gamal kila mmoja akituhumiwa kifungo cha miaka minne.

Watoto hao walikutwa na hatia ya kiujichukulia dola za kimarekani zisizopungua milioni 16 kinyume na sheria.

Kesi mpya dhidi ya Hosni Mubarak na wanawe iliamuliwa mwezi uliopita na wakili wao Farid ambaye amekuwa akidai hata Rais huyo aachiliwe huru.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s