MUIGIZAJI TINO MADHAHABU WA BONGO DSM AFARIKI DUNIA

Tino Madhahabu

Tino Madhahabu enzi za uhai wake akiigiza katika igizo la Bongo Dar es salaam, kulia kwake ni Chuchu Hans

Tasnia ya filamu nchini imepata pigo la kuondokewa na muigizaji wake ‘Augustino Mathias’ maarufu kwa jina la Tino Madhahabu ambaye amefariki Dunia Jumatano(Jan.21) jijini Mbeya  na kuzikwa siku ya Ijumaa(Jan.24) huko Tunduma..

Muigizaji huyo alikuwa akisumbuliwa  na maradhi ya moyo kwa muda mrefu ambayo yamechangia kwa kiasi kikubwa kupelekea kifo chake.

Madhahabu alijipatia umaarufu mkubwa  kupitia igizo la Bongo Dar es salaam lililokuwa likirushwa hewani na kituo cha utangazaji ‘TBC’ akishirikiana na waigizaji wenzake akiwemo Kulwa Kikumba ‘Dude’, Flora mvungi na Chuchu Hans.

Huyu ndiye msanii kipenzi cha watu aliyefariki kutoka kundi linaloongozwa na Dude la Bongo dsm anaitwa Tino madhahabu,amefariki tar 21/01/2015 Mbeya, na kuzikwa Tunduma Mbeya tar 23/02/2015 mungu ailaze roho ya marehemu Tino madhabu peponi Aamin”, aliandia Dude kwenye ukurasa wake wa Facebook

Marehemu ameacha mjane  mmoja na watoto watatu.  Blogu ya Larrybway91 inawapa pole familia ya Mathias.  Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi Ameen.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s