HIVI NDIVYO MASTAA WA BARCELONA NA WENZI WAO WALIVYOTOKELEZEA KATIKA BIRTHDAY YA MTOTO WA SHAKIRA NA PIQUE

Shakira, Millan na Pique

Shakira, Millan na Pique

Beki wa Barcelona, Gerard Pique na mkewe mama kijacho Shakira wamemuangushia birthday mtoto wao wa kwanza wa kiume ‘Millan’ aliyekuwa akitimiza umri wa miaka miwili katika sherehe iliyofanyika kwenye hoteli ya King Don Juan Carlos alhamisi iliyopita na kuhudhuriwa na mastaa kibao wanaokipiga klabu moja na mumewe waliokuwa wameambatana na wapenzi wao.

Baadhi ya mastaa walio-show love katika birthday hiyo ni pamoja na mshambuliaji Lionel Messi na mchumba wake Antonella Roccuzo, mchezaji wa zamani wa Liverpool Luis Suarez na mke wake Sofia Balbi, Kiungo Ivan Rakitic, Pedro, Adriano,Marc Bartra na mchumba wake Melissa Jimenez.  Watazame hapo chini

Shakira na Pique

Shakira na Pique wakiwasili katika hoteli ya King Don Juan Carlos

Lionel Messi na Antonella

Lionel Messi na mpenzi wake Antonella wakiwasili

Suarez na Sofia

Suarez na mkewe Sofia

 

Adriano

Adriano

Dani Alves

Dani Alves

Ivan Rakitic

Kiungo Ivan Rakitic akiwasili hotelini hapo

Pedro

Pedro ni miongoni mwa wachezaji wa Barca waliohudhuria sherehe hiyo

Marc Bartra

Marc Bartra na mpenzi wake wakiwasili mjengoni

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s