BARAKAH DA PRINCE : NIMEJIPANGA KINOMA NOMA MWAKA HUU

Barakah Da princeHitmaker wa Jichunge, Barakah Da Prince amesema  kuwa mwaka huu amejipanga ipasavyo ili kuweza kuleta mapinduzi na ladha mpya katika gemu la muziki wa Bongo Fleva.

Watu inabidi tufanye muziki mzuri, nimejipanga kinoma noma mwaka huu, nataka nilete mapinduzi alafu nilete na taste mpya katika industry ya muziki wa Bongo Fleva”, alisema Barakah katika mahojiano na XXL ya Clouds Fm

Aidha msanii huyo amesema kwa sasa yupo kwenye mkakata wa kufanya video ya ngoma yake mpya ”Siachani Nawe” ambayo ameiachia mwaka huu na kuwataka mashabiki wategemee mambo makubwa kutoka kwake.

Soon ndio tupo katika mikakati ya kufanya video kwa hivi karibuniWatu wategemee video yake inakuja alafu litakuwa ni bonge la video”.

Isikilize ngoma mpya ya barakah Da Prince inayoitwa Siachani nawe hapo chini

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s