WEMA SEPETU : SIWAJUI VICOBA, HAKUNA KITU NACHOMDAI DIAMOND

wema sepetu

Wema Sepetu

Msanii nyota wa Bongo Movie, Wema Sepetu amefunguka kuhusiana na tetesi zilizozagaa mjini kupitia gazeti la Mtanzania kuwa anadaiwa shilingi milioni 10 za kitanzania ambazo alikopa VICOBA kwa ajili ya kumfanyia wepesi zilipendwa wake Diamond Platnumz.

Akistohirishia kwenye hot 255 ya Clouds Fm, Wema Sepetu amesema hakuna kitu anachomdai Diamond na isitoshe haifahamu hata hiyo VICOBA na kwake kukopa kiasi hicho cha fedha ni sawa na kumtusi.

Yaani hapa nimekaa kwa sababu most of the time i don’t run my twitter account, so most of the time my twitter account ana-run my blogger Bestizzo.  Mimi nai-run once in a while am not a twitter person, i’m a instagram person, kwaiyo nikawa nasema sijui nitoe tamko Instagram, sijui niongee kitu about that but then i was like aahh, u know what, it’s just take allegations, ni kitu ambacho watu tuu wametry kukiweka kikubwa alafu  i don’t have time for this things”, alisema Wema

Kwaiyo yaani nilishasema kwamba that chapter is closed and i don’t want that chapter to be revived tena, so i don’t kwanini watu they keep coming back with the same things over and over again because nimetry my best ku-keep on the down low, i try my level best ku-keep quite about everythings so sijui kwanini watu wanafanya hivyo”.

Aliongeza, ”kiukweli yaani i don’t know, if anybody ask me hakuna kitu ninachomdai Diamond, hakuna siku hata moja nimefikiria kwenda kumshtaki Diamond sijui na faini, if and if kungekuwa kuna kitu chochote yaani let say if kungekuwa na ukweli wowote about that things, i wouldn’t waste my time to go polisi eti kuanza sijui kufanya nini nini about that.. Come on”.

Aidha msanii huyo  amesema kuwa hawajui na hajawahi kuwakopa VICOBA hata mara moja na kwa upande wake  habari hizo zimemshtua sana.

Noo! Noo! No! No! No! yaani sijawahi kufanya anything of that, so am just mimi hizi news ziko very shock kwangu, very shock. VICOBA siwajui yaani am thinking, unajua leo nilikuwa nimekaa mtu akaniambia hivi maybe Wema haujajua, may be this VICOBA people wanatry kutafuta promosheni, kujitangaza, unaone eeeh”.

so in a way wameamua kuitengeneza hii kitu ionekane yes kuna something called VICOBA wanakopesha mpaka milioni 10, kwanza mimi hata siwezi nikakopa sehemu milioni, that much i cannot do, siwezi kukopa sehemu na wala siwezi kumuwekea dhamana mtu akafanya, so it’s just insanity”, alifunguka mwanadafada Wema Sepetu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s