MSHINDI WA BBA HOTSHOTS ‘IDRIS SULTAN’ AUANIKA MJENGO WAKE

Mshindi wa shindano la Big Brother africa Hotshots, Idris Sultan ameanza kuzitendea haki dola milioni 300 za kimarekani alizoshinda kama zawadi katika shindalo hilo kwa kununua ghorofa.

Idris mwenye umri wa miaka 21, ameshea  picha za mjengo huo na wafuasi wake katika mtandao wa instagram kama unavyoonekana hapo chini. 

Idris Sultan House

Jumba alilonunua Mshindi wa BBA Hotshots Idris Sultan

Idris Sultan

Idris Sultan akiwa mbele ya mjengo wake

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s