MFALME ABDULLAH BIN ABDULAZIZ WA SAUDI ARABIA AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 90

Mfalme Abdullah Bin Abdulaziz enzi za uhai wake

Mfalme Abdullah Bin Abdulaziz enzi za uhai wake

Mfalme wa Saudi Arabia, Abdullah Bin Abdulaziz amefariki Dunia akiwa hospitalini nchini humo.

Tamko la kifo cha mfalme huyo, limetolewa na kaka wa mfalme huyo aitwae Salman ambaye nae aliwahi kuwa mfalme.

Kabla ya tamko hilo televisheni ya taifa ya Saudi ilikatiza matangazo yake na kuweka nyimbo za Quaraan kama ishara ya kifo cha kiongozi wa juu wa ufalme.

Mfalme Abdulrahi amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 90 na alilazwa hospitalini kwa wiki kadhaa tangu Desemba mwaka jana kutokana na maambukizi kwenye njia ya hewa.

His Highness Salman bin Abdulaziz Al Saud and all members of the family and the nation mourn the Custodian of the Two Holy Mosques King Abdullah bin Abdulaziz, who passed away at exactly 1 a.m. this morning,” alisema Salman

Viongozi mbalimbali Duniani wanaendelea kutuma rambirambi zao kwa familia ya marehemu anayetarajia kuzikwa baadae hii leo.

 

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s