KICHUPA KIPYA ; CHRIS BROWN FEAT. KENDRICK LAMAR – AUTUMN LEAVES [official Video]

Chris Brown Feat. Kendrick Lamar - Autumn Leaves

Safari hii Chris Brown ameamua kutupilia mbali mambo ya swaga na kuuvaa uhusika wa tamaduni za watu wa bara la Asia katika video yake mpya ya Autumn Leaves, ambapo mpenzi wake Karrueche Tran amecheza kama starring wa kichupa hicho.

Katika video hiyo, Rapa Kendrick Lamar hakuweza kuonekana licha ya kupewa shavu katika ngoma hiyo ambayo inapatikana katika Albamu ya Chris Brown ‘X’ ambayo pia imepata shavu la kuchaguliwa kuwania tuzo za Grammy kwa mwaka huu katika kipengele cha Best Urban Contemporary Albam.  Itazame hapo chini

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s