HOMA YA MATOKEO YA KURA ZA URAIS NCHINI ZAMBIA

Uchaguzi ZambiaMatokeo ya kura za urais nchini Zambia sasa yameanza kukamilika katika ukumbi wa kimataifa wa Mulungushi ambayo ni makao makuu ya kuhesabia kura nchini humo.

Matokeo yaliyotolewa na tume ya uchaguzi ya Zambia usiku wa kuamkia leo, yanaonyesha kuwa Edgar Lungu mgombea wa chama tawala cha Patriotic Front mpaka sasa anaongoza akiwa na kura 670,397 huku mpinzani wake Hakainde Hichilema wa chama cha United Party for Nation Development akiwa karibu kwa kura 641,343.

Hata hivyo Edgar Lungu anaongoza kwa asilimia 48.8 na Hali Hakainde akiwa na asilimia 46.9 na mgombea mwingine bi Edith Nawakwi mwanamke pekee kwenye kinyang’anyiro hicho yuko nafasi ya tatu akiwa na kura 11,260 sawa na asilimia 0.268 ya kura zote.

Uchaguzi huo mkuu wa urais umefanyika kufuatia kifo cha Rais wa nchini hiyo Michael Sata mwaka jana na mshindi atakaimu kiti chake.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s