DWYANE WADE WA MIAMI HEAT APIGWA FAINI YA DOLA 15,000 NA NBA KWA KOSA HILI

Dwayne WadeMchezaji nyota wa timu ya mpira wa kikapu ya Miami Heat, Dwyane Wade amejikuta akipigwa faini ya dola za kimarekani 15,000 na shirkisho la mpira wa kikapu NBA,  baada ya kuonyesha ishara mbaya wakati wa mchezo baina yao na Charlotte Hornets uliochezwa juzi Jumatano.

Rais wa shirikisho hilo, Rod Thorn alitangaza kumlima faini mchezaji huyo usiku wa kuamkia leo,  kwa kosa la kuonyeshea ishara ya  kidole cha kati  mbele ya umati wa  mashabiki uliokuwa ukitazama mchezo huo.

Katika robo tatu ya mchezo huo, Wade anayechezea safu ya ulinzi alionekana akitoa ishara hiyo licha ya tukio hilo kutokurushwa hewani katika mchezo uliomalizika kwa Hornetts kushinda jumla ya vikapu 78 – 76 dhidi ya Heat kwenye uwanja wa Time Warner Cable.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s