AFCON 2015 : GUINEA WALAZIMISHWA SARE NA BURKINA FASO, CONGO YAMTUNGUA 1 – 0 GABON

GuineaTimu ya Taifa ya Congo Braville jana imepata ushindi wa goli moja kwa nunge dhid ya Gabon na kujikita kilele kwenye msimamo wa kundi A.

Bao pekee na la ushindi kwa Congo liliwekwa kimyani na kiungo mkabaji ‘ Prince Oniangue‘ manmo dakika ya 48 kipindi cha pili

Ushindi huo wa Congo umeifanya ifikishe pointi 4 baada ya kupata sare kwenye mchezo wa awali.  Kocha wa timu hiyo ‘Claude Le Roy’ amesema kuwa ushindi huo unawaweka kwenye nafasi nzuri ya kusonga mbelena kuwataka wachezaji wake kujiandaa vyema kwa ajili ya mechi ya mwisho.

Katika mchezo mwingine wa kundi ”A” hapo jana wenyeji Guinea Equatorial wamelazimishwa suluhu na Burkina Faso ambapo timu hiyo imefikisha pointi 2 huku Burkina Faso ikipata pointi yake ya kwanza.

Hii leo kutakuwa na mechi mbili za kundi ”B” kati ya zambia watakaocheza na Tunusia huku Cape Verde kavaana na Jamhuri ya kidemokraisa ya Congo.

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s