TIGER WOODS APOTEZA MENO YA BARAZANI

Mchezaji nyota wa mchezo wa gofu Duniani, Tiger Woods, amejikuta akipoteza meno ya barazani wakati akimshuhudia mpenzi wake Lindsay Vonn akitwaa taji la ubingwa wa Dunia wa mbio za kuteleza kwenye barafu kwa mara ya 63 nchini Italia.

Tiger Woods

Ishu hiyo ilijiri baada ya Tiger Woods kum-sapraiz  ‘Lindsey Vonn’  ambaye alikuwa akishiriki katika fainali za michuano ya mbio hizo za kuteleza  nchini humo.

Wakala wa mchezaji huyo, Mark Steinberg, amenukuliwa akisema kwamba Woods alipatwa na majanga ya kupoteza meno yake ya mbele wakati wa purukushani na wandishi wa habari katika mbio hizo, ambapo mwandishi mmoja wa habari aliyekuwa amebeba video camera alisukumwa na kujikuta akimgonga mchezaji huyo eneo la mdomo.

Tiger Woods & Lindsay Vonn

Tiger Woods na Lindsay Vonn

Siku moja baada ya kutangazwa mshindi, Vonn aliandika ujumbe mfupi kupitia ukurasa wake wa facebook akielezea kufurahishwa na ujio wa kushtukiza wa mpenzi wake huyo katika fainali ya mchezo huo na alishtushwa baada ya kuona hana meno ya meno.

Pindi alipokuwa amesimama katika eneo la kumalizia mbio, kwa bahati mbaya paparazi alimgonga na kupoteza meno yake ya mbele”, aliandika Venno na kuongeza,”Hakulalamika au kuomba msaada maalum au usalama. Sisi sote wawili tulifurahia wakati wetu”.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s